Speech Details Home / Speech Details

Madam Kisa Mwakibaba

— Mratibu wa Nidhamu

Message From — Mratibu wa Nidhamu

"Nidhamu ni nguzo kuu ya mafanikio ya mwanafunzi. Hapa Bundikani, tunawalea wanafunzi kuwa na heshima, uwajibikaji na nidhamu ya kweli. Tunaamini kuwa bila nidhamu hakuna mafanikio ya kweli. Tunafanya kazi kwa karibu na wazazi kuhakikisha kila mwanafunzi anakuwa mfano wa kuigwa." — Mratibu wa Nidhamu