Speech Details Home / Speech Details

Madam Rutha
Mratibu wa taaluma
Message From Mratibu wa taaluma
"Kwa upande wa taaluma, tumeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kila mwanafunzi anapata maarifa stahiki kulingana na uwezo wake. Mitihani ya ndani, masomo ya ziada na upatikanaji wa rasilimali za kujifunzia vinawasaidia wanafunzi wetu kuwa imara kitaaluma. Tushirikiane kuinua viwango vya ufaulu!"