Speech Details Home / Speech Details

Benard Muyenjwa
— Mwl. Mkuu
Message From — Mwl. Mkuu
"Karibu Bundikani Secondary School – mahali ambapo taaluma, maadili, na nidhamu vinajengwa kwa pamoja. Tunaamini katika kulea vijana wa kitanzania kuwa raia bora, wenye maarifa, maadili mema na uelewa mpana. Tumejipanga kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kufikia ndoto zake. Asanteni kwa kutuamini."